Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YENYE ENEO KUBWA INAUZWA PAMOJA NA FREMU ZAKE ZIPO 5 KUBWA
....๐ฅ NYUMBA HII KUBWA INA SIFA ZIFUATAZO .........
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YAPO
..............................
PIA KUNA SERVANT COTER YA VYUMBA 2 NA SEBULE NA JIKO .............
DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA (FULL DOCUMENTS)
UKUBWA WA ENEO NI :- UREFU NI METERS 40 NA UPANA NI METERS 30
BEI NI MILIONI 120 MAONGEZI YAPO
๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1
KUONESHWA NYUMBA HII NDUGU MTEJA GARAMA YAKE GARAMA YAKE NI ELFU 30
0655256419