Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


.
Eneo linauzwa kimara mwisho upande wa kushoto Kama unaelekea mbez
Km1.3 tuu kutoka mwendokas boda 1000 Hadi site bajaji700
Upende wa balabala mpyà inayowekwa lam wahi kabla haijaisha
Lina sqm 400 Yan 20 kwa 20 tambalale hakuna mliman Wala bonde
Bei 15M maongezi yapo
Piga: 0769138053