Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA MPYA INAUZWA
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#GARDEN NZURI
#IPO NDANI YA UZIO MKUBWA NYUMBA YOTE NA GETI LAKE ZURI KUBWA
#MAJI DAWASA YAPO
UKUBWA WA ENEO LA NYUMBA HII NI METER 25/30
DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA NA MUUZAJI WA ENEO
BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI (SARANGA) UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3
USAFIRI UPO WA KUCHANGIA NI BAJAJI NA BODABODA NA GARI LINAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
💥 NDUGU MTEJA WANGU KARIBU UPATE MAKAZI BORA NA YENYE UHAKIKA NI KIMARA TEMBONI (SARANGA)
PIGA CM 0764575774