Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


FOR SALE
FOR SALE
NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAUZWA
LOCATION:
KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 3
SIFA ZAKE:
VYUMBA 3 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
DINING TABLE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
UKUBWA WA ENEO MITA 25/35
BEI MILIONI 75
KUONA ELFU 20000
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja