Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA SAFI KINA UZWA KIMARA KOROGWE BARABARA SAFI YA ZEGE NA KIWANJA KIPO KATIKA MTAA MZURI SANA UKIJENGA APARTMENT UNACHUKUWA PESA NZURI TU .
SQMT 1100
HATI MILIKI SAFI KABISA
Bei Million 130 (Maongezi yapo)
KIWANJA KINATAZAMAA PIA BARABARA KUBWA YA MTAA UNAWEZA JENGA FREMU ZA BIASHARA NYUMA NYUMBA
WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU UKAE SEHEMU NZURI USHUWANI PALIPO JENGEKA
Service charge 30,000/=
kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.