Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


STOP OVER KIMARA KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO UMBALI WA KM 1 TOKA MORO ROAD
PIGA SIMU 0755831740
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 1800
BEI MIL 100
MAZUNGUMZO YAPO
ENEO NI ZULI SANA KWA UJENZI WA ARPATIMENT MAKAZI
LODGE
ENEO NI MTAA WA KIBABE SANA
ANGALIA MAJIRANI WALIVYO TURIA NA MIJENGO YAO YA KIBABE
UKIWA HAPA STENDI KUU YA MWENDO KASI DK 15 KWA MGUU MPAKA HAPO
MAJI UMEME VIPO HAPO PEMBENI
NDANI YA KIWANJA KUNA MABANDA YANA FULL WAPANGAJI
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
PAMEPIMWA BADO HATI
HAPA UKITOKA STOP OVER PITA HIYO BARABARA YA ZEGE MPAKA HAPA NDIO IMEISHI LAMI HAPA
KARIBU SANA MTEJA