Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA KIMARA MWISHO MICHUNGWANI. NI UPANDE WA KULIA UKITOKEA UBUNGO
UMBALI NI KILOMETA 1 TUU. 1 BODA NI 1000/= AU
KUTEMBEA DAKIKA 15
BEI NI MILIONI 30 #MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 600
KIWANJA KIPO TAMBALALE HAKIHITAJI KUCHONGA
KINAFAA KUJENGA APATIMENTI ZA WAPANGAJI AU NYUMBA YA KUISHI MWENYEWE
====
KUONA KIWANJA 20,000/=
Contact
0652472014
0754344786