Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 4 SALE ____FOR SALE ___ INAUZWA. _75,000,000,ML__MTEJA CHANGAMKIA FURSA HII PAGALE KUBWA LILILOJENGWA KISASA NA UIMALA MKUBWA SANA LINAUZWA NA LIPO TAMBARARE NA SEHEMU NZURI BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
🇹🇿__PAGALE HILI LINASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA NA VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#STORE
#PANAFAA KWA MAKAZI
#BADO KUEZEKWA TUU NA FINISHING NYINGINE
#UNAWEZA KULIGAWA MARA 2 AU TATU NA KUWEKA NYUMBA ZA WAPANGAJI
#LINAENEO KUBWA LA KUONGEZA NYUMBA NYINGINE NA PARKING IKAWEPO
#LIMEZUGUSHIWA FENSI YA WAYA NA KUWEKWA GETI
UKUBWA WA ENEO HILI NI METER 45 / 35
BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
🇹🇿 PAGALE HILI KUBWA LIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU MOJA TUU HADI KWENYE NYUMBA