Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam






BEI MILIONI 12
MAONGEZI YAPO
=====
KIWANJA KINAUZWA KIPO KIMARA TEMBONI
=====
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI
KILOMITA 2 POINT 5
=====
USAFIRI BODA BODA 1000
BAJAJI 700
=====
SIFA YA KIWANJA KIPO MAHALI PAZURI
HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIPO
KAMA UMEME MAJI
========
UKUBWA WA KIWANJA
MITA 17 KWA 18 NI SAWA NA SM 370
=======
KIPELEKWA KUONA 25000
KARIBU SANA MTEJA
=====≈
PGA CM
0716171830
0789352273