Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI NYUMBA ZINAUZWA ZIPO TATU TU KILA NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE GETI LAKE NYUMBA ZINAFAA FAMILIA KUBWA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO
#CHOO CHA FAMILIA
#KILA NYUMBA INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA MITER YA MAJI
#MAJI DAWASA YANATOKA MUDA WOTE
#UKUBWA WA ENEO NI SQUARE MITER 600
#HATI MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
#BEI NI MILIONI 100 HAKUNA PUNGUZO WALA MAINGEZI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE
KWA SASA KILA NYUMBA INAPANGISHWA KODI YA 300,000 KWA MWEZI
KARIBU MTEJA OFFER YA BURE KABISA MILIONI 100 NYUMBA ZOTE TATU KARIBU KABISA NA MWENDOKASI
CALL
0727977383