Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA CHENYE HATI,SQM.1756,TSHS 150 MILIONI,KIMARA TEMBONI.
Ni umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Panafikika kwa urahisi misimu yote.
Mtaa umejengeka vizuri.
Safi kabisa kwa Makazi yako au kuwekeza Biashara kama Apartments nk.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548.
________________mpg



















