Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


#NYUMBA_VYUMBA NANE INAUZWA KIMARA SUKA
#NYUMBA INA VYUMBA NANE VYA KULALA NA VYOTE VINA WAPANGAJI
#VYOO VYA NDANI HUOHUO
#UMEME NA MAJI VIPO
UKUBWA WA ENO NI SQMT 600 TU
BEI #MILIONI 68 TU #MAONGEZI_YAPO_USIOGOPE_NDUGU_MTEJA
#NYUMBA IPO UMBALI WA KILOMETA 2.3 KUTOKA MOROGORO ROAD NA USAFIRI BAJAJI 800 AU BODA 1500/=
MAUZIANO NI SERIKALI YA MTAAA AU MWANASHERIA YAANI INA DOCUMENT ZA SERIKALI YA MTAA
HII NYUMBA INAFAAA KUWA LODGE AU KUENDELEZA KAMA APARTMENTS KAMA ILIVYO SASA HIVI
#SERVICE CHARGE NI TZS 30,000/=
0655256419