Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


ENEO LINAUZWA LIPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL.
ENEO NI ZURI LINATAZAMA BARABARA YA ZEGE ( MAJI CHUMVI ROAD ) LINAKIBARI CHA KUJENGA SHELI ( PETROL STATION )AU UKABADIRISHA KUWA ( COMERCIAL AREA ).
UKUBWA WA ENEO NI =
SQM = 2720
BEI MILIONI = 600
MAZUNGUMZO YAPO
ENEO LINA HATI MILIKI.
----------------
KUPELEKWA KUONA SITE NI ELFU = 30,000 /=
HI ITADUMU MPAKA UPATE KIWANJA AU ENEO ULITAKALO .
KWA
MAELEZO ZAIDI PIGA
0679447338
0753454167