Kiwanja kinauzwa Kinondoni, Dar Es Salaam


Apartment ya ghorofa moja inauzwa,
Ipo Kinondoni kwa Pinda.
Nyumba nzuri sana
Mtaa umetulia.
Ina apartments 7.
Apartment 6, zina chumba master, sebule na jiko.
Apartment moja, ina vyumba vitatu, sebule, dinning na jiko.
Kodi nyumba yote kwa mwezi ni 5.3M
Mmiliki mmoja, hati ipo.
Bei billion 1.
Maongezi yapo.
Mawasiliano 👇
➡️☎️0679 077638