Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA – KINYEREZI SHULE
✅ Ukubwa: 600 SQM
✅ Ndani ya fence (zote zimejengwa)
✅ Tambarare 100% – hakuna mawe, hakuna mteremko
✅ Kimepimwa na hati tayari (mnunuzi anapewa mara moja)
✅ Mmiliki halali anauza mwenyewe – yupo 24/7
✅ Bei: Milioni 45 tu (Fixed – hapana bei ya kujadili)
Mahali pazuri sana:
- Karibu na barabara kuu, shule, maduka na miundombinu yote
- Panafaa kabisa kwa nyumba ya kifahari ya kibinafsi
- Au kujenga apartments, BnB, lodge – eneo lina hitaji kubwa sana!
Kiwanja cha namna hii kinapotea kwa kasi… usikose!
📞 Piga sasa: 0688 412 890
Kinyerezi Shule – Fursa ya kweli haiwiki tena! 🔥


















