Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Tsh Milioni 85,
Kinyerezi-Makofia,Dar es salaam Tanzania.
_____________
■Nyumba ina vyumba 3 vya kulala/kimojawapo kina choo na bafu/sebure/jiko/choo na bafu vya familia/sehemu ya kulia chakula/umeme-luku/Maji-dawasa,
*Pia kuna mlango wa biashara(fremu) /stoo nk
*Ukubwa wa eneo Sqm 500,
*Umiliki : Mkataba wa mauziano.
_______________
■Mnunuzi: Atalipia Tsh 20,000/= kupelekwa kuangalia nyumba,
________________
Napatikana : Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
●piga simu/WhatsApp no +255(0)689508094