Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


🔥 KIWANJA KINAUZWA - KINYEREZI SHULE! 🔥
🏡 Kiwanja cha Sqm 1600 kipo Kinyerezi Shule, mtaa mzuri, umejengeka, na unaendelea kwa kasi!
📜 Hati: Ipo ✅
💰 Bei: Milioni 270 (Maongezi Yapo)
🌟 Sifa: Tambarare, huduma za kijamii (maji, umeme, barabara), inafaa kwa apartments, BnB, godown, hospitali, shule, au nyumba yako ya ndoto.
📈 Thamani: Eneo linalokua kwa kasi, uwekezaji wa uhakika!
📞 Piga Sasa: +255 688 412 890 uone kiwanja hiki cha kipekee!
⏳ Haraka! Fursa hii ni ya muda mfupi tu!



















