Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
KINYEREZI KIFURU
BEI TSH MILION 35 MAONGEZI
UKUBWA WA ENEO SQM 300
INA VYUMBA VITATU (3) KIMOJA SELF
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET
NYUMBA INAHITAJI FINSHIN
ILA INA MPANGAJI ANAKAA
IPO KARIBU KABISA NA BARABARA YA LAMI
GARI INAFIKA VIZURI TU
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA (SERVICE CHARGE) ELFU 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
0652912222
0782414315