Kiwanja kinauzwa Kisongo, Arusha


*Eneo la Ekari 5 linauzwa Kisongo, Arusha*
*Distance* Eneo lipo Mita 700 kutoka Dodoma road
✅Eneo ni tambarare ni kiwanja cha pili kutoka Barabara ya mtaa
✅Eneo linafaa kwa Kiwanda, Godown, Yard, Apartment, Hotel n.k
✅Plot size Ekari 5
✅ Document: Title Deed
✅MATUMIZI: Makazi/Residential
*Bei shilingi milioni 430 maongezi yapo*
Simu:0621488071