Kiwanja kinauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam







KIWANJA KINAANGALIA BARABARA YA LAMI,SQM.340,TSHS.65 MILIONI, KUNDUCHI.
Hapa panafaa sana kuweka nyumba ya Biashara kama Apartments nk.
Kwasasa kuna nyumba ya kizamani pngine yakuvunja.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.