Kiwanja kinauzwa Kurasini, Dar Es Salaam


🔥 PRIME COMMERCIAL PROPERTY FOR SALE 🔥
📍 KURASINI – BENDERA TATU (BANDARINI)
Fursa adimu sana ya uwekezaji katikati ya eneo lenye shughuli kubwa za kibiashara.
Eneo hili linatazama barabara kuu mbili muhimu – Mandela Road na Bandari Road, kitu kinacholifanya kuwa mahali mkakati kwa biashara kubwa na uwekezaji wa muda mrefu.
📐 Ukubwa wa Eneo: 3,244 SQM
📄 Hati: Safii kabisa (Title Deed)
💰 Bei: USD 2,000,000
🏗 Eneo linafaa kwa miradi mbalimbali ya kibiashara kama:
• Yard ya mizigo
• Godowns / Warehouses
• Filling Station
• Hospital au Medical Center
• Logistics Hub
• Au uwekezaji mwingine wowote mkubwa wa kibiashara
✨ Location yenye thamani kubwa inayokua kila siku.
Hii ni fursa ya kipekee kwa mwekezaji anayetafuta eneo la kimkakati karibu na bandarini.
⚠️ Usikose nafasi hii ya uwekezaji.
👀 Site Visiting Fee: TZS 100,000
📞 Mawasiliano:
Call / WhatsApp – 0784 919 453
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#business #home #regrann #industrial #industry





