Kiwanja kinauzwa Kwembe, Dar Es Salaam
YAKUMALIZIA, KIWANJA SQM.4,000, TSHS.120 MILIONI, KWEMBE LUGURUNI.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni wastani wa kilomita 4 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Nyumba hii inahitaji kunalizia ujenzi.
Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 4,000.
Ina vyumba 4 (2 vyoo ndani)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
______________
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.