Kiwanja kinauzwa Mabwepande, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA IMEKAMATA BARABARA YA MTAA INAUZWA KWA NIABA YA BANK
IPO MABWEPANDE (KINONDONI MUNICIPALITY)
BEI Tsh milion 45 makadilio
Ukubwa Wa Eneo SQM 400
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ina Vyumba Vitatu vya kulala
Chumba Kimoja Master
Dinning room
Sitting room
Kitchen
Public Toilet
Mark : Ofisi Ya Serikali Ya Mtaa Mabwepande
Umbali: Meter 100 Kutoka Barabara kuu
Gharama Za Kwenda Site kuoneshwa nyumba Ni Tshs 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
0652912222
0782414315