Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


*Nyumba mpya ina Madale Mivumoni*
*Umbali* Kutoka main road Madale mwisho ni 1.2 KM
-Nyumba ina vyumba 3 vya kulala vyote ni master bedrooms, Dinning room, sitting room, study room, jiko, stoo, public toilet.
-Nyumba ina makabati jikoni na vyumba vyote.
-Full A/C vyumba vyote
Servant quarter zipo mbili zenye chumba master na jiko na chumba master
-Nyumba ina Lounge nzuri sana na public toilet
-Electrical fence na garden nzuri
-Nyumba ina barabara pande mbili na mageti mawili
-Plot size Sqmtrs 2,800
-Title Deed *(Hati miliki)*
*Bei shilingi milioni 500 maongezi kidogo*