Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam







Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa mzuri sana wa kishua
Ukubwa-sqm 759
Umiliki-hati miliki
Bei-ml 50 maongezi
Location- madale polisi
Umbali-km 1.8 kutoka main road madale polisi
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
SERVICE CHARGE 30,000/=TZS
MSHATI



















