Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa,
Ipo madale mivumoni,
Ina vyumba vitatu,
Vyote ni master bedroom.
Sitting room, dinning, stoo,
Studying room, counter,
Jiko kubwa la kisasa.
Full ac,
Electronic fence,
Garden nzuri,
Lina hati miliki (title deed)
Ukubwa wa eneo ni SQM 2800
Bei mil 500 tu.
Maongezi kidogo
Contact ☎️+ 255679 077638