Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa
Bei milioni 150 maongezi
Ukubwa Sqm 2,070
Kimepimwa kina mchoro hati Bado
Kipo madale mwisho barabara yambopo
Kinagusa barabara yambopo
Nimakazi nabiashara
Umeme Namaji vipo
Barabara nikiwango chalami mpaka bunju
Sim +255 750 246 905 / WtsApp