Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


#HOUSE_FOR_SALE_AT_MADALEE_POLISI
Nyumba nzuri sana inauzwa bei poa:
Ina room 4 masta 3
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Eneo-sqm 400
Umiliki- Hati miliki
Bei-Mil 95 maongezi yapo
Location- madale polisi
Umbali-km 1.5 kutoka main road madale polisi
Karibuni
0754344786
0652472014