Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


PAGALE LA GHOROFA LINAUZWA.
MADALE FLAMINGO Umbali wa Km 3 toka lami ya madale.
Pagale lina ramani ya vyumba 5 na 3 ni master rooms
Eneo lina sqm 800 ( Sio Tambarare eneo)
Lina HATI MILIKI YA WIZARA.
Bei: Million 45 ( Mazungumzo kidogo)
Call&watsapp 0769279936