Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam
Nyumba mpya kali sana ya kisasa inauzwa:
Nyumba Ina vyumba vi 3 viwili ni masta
Dining, sitting, jiko, stoo, public toilet, bafu na study room
Full makabati jiko na vyumbani
Full A/C vyumba vyote
Servant quota zipo mbili
Chumba masta na jiko na chumba masta
Counter ya kisasa na Choo cha public
Electronic fens, garden na maji dawasco
Pia nyumba Ina barabara pande mbili na mageti mawili
Eneo ni la kutosha kufanya chochote unachotaka
Ukubwa-sqm 2800
Umiliki- hati miliki
Bei-ml 500 maongez kidogo
Location- madale mivumoni jirani na Reca hotel
Umbali-km 1.2 kutoka main road madale mwisho
Karibuni 0754 587 611 0718 950 277