Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA KWA NIABA YA BANK MADALE MIVUMONI (KINONDONI MUNICIPALITY)
Mawasiliano: 0769318773 or 0789184940
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Sio Mbali Kutoka Barabara Kuu Ya Lami
Bei : 25 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=