Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam
Kiwanja kizuri sana kinauzwa ni kona plot:
Kiwanja tambarare mkeka km unavyoona
Ukubwa-sqm 2130
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 60 maongez
Huduma zote muhimu kama vile umeme maji n.k zipo
Location- madale mbopo
Umbali-km 4.5 kutoka main road madale mwisho
Na km 1 kutoka barabara kubwa ya mbopo centre
Karibuni 0652472014