Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam
KIWANJA SQM.3,600 CHENYE HATI, TSHS.900 MILIONI,
MADALE.
Ni Kiwanja kinachoangalia Barabara Pana ambayo inawekwa Lami muda si mrefu.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa unaweza kuweka Biashara inayohitaji eneo linalohitaji kuonekana vizuri, kufikika kiurahisi na ambapo hapajaendelea sana.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kukagua gharama ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255<14591548
___________mth
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.