Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo mtaa mzuri sana km unavyoona majirani
Ukubwa-sqm 1100
Kimepimwa bado Hati
Bei-ml 50 maongezi
Location- madale msigani
Umbali-km 3 kutoka main road wazo bwawani
Karibuni 0782428327