Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Nyumba nikari sana inauzwa madale mivumoni
Inavyumba 3 vyote master
Nyumba nimpya bado malekebisho madogo madogo
Nyumba ina hati miliki
Title deed safi
Sqmt 600
Bei milioni 280 maongezi yapo utakabiziwa nyumba ikiwa imekamilika
Kutoka rami ni mita 400 tu