Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


#NYUMBA_INAUZWA MADALE MIKOROSHINI
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA[KIMOJA MASTER]
SEBULE KUBWA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA
CHOO CHA FAMILIA
UKUBWA WA ENEO NI SQMT 350
KIWANJA KIMEPIMWA KABISA NA KINA MAWE
BEI NI #MILIONI 45 #MAONGEZI_YAPO_NDUGU_MTEJA
#FIKA SITE UONE NYUMBA KWANZA
UMBALI WA MITA 600 KUTOKA MADALE ROAD
SERVICE CHARGE NI TZS 30,000/=
#NB:NYUMBA NI YA KUMALIZIA FINISHING NDANI NA NJEE
0655256419