Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:
Kiwanja ni tambarare km unavyoona
Ukubwa-sqm 833
Kimepimwa bado Hati
Bei-ml 40 maongezi
Location- madale nyakasangwe
Umbali-km 2.5 kutoka main road madale Shelaton
Karibuni 0782 724 115