Kiwanja kinauzwa Magomeni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa
ipo magomeni mikumi
Dar es Salaam,tz
ya pili kutoka kona
na niya pili kutoka mtaa wa lami wa ifunda pale mtambani
wana uhitaji wa pesa kwa haraka
wana ofa ila wako kwenye proses za mwisho kutoa title.
Ukubws sqm 437.57
Plot 45 Block E
Bei sasa ni ml 180
Contact call 0712531657
#0789731695 whatsupp