Kiwanja kinauzwa Majengo, Dodoma







*Shule ya Sekondari na majengo yake inauzwa jijini Arusha*
*Distance* 700 Meters kutoka Moshi - Arusha road
*NOTE*
*Shule haidawi na imesajiliwa ina vitendea kazi vyote zikiwemo computer, furniture, na miundo mbinu yote kuendeleza*
-Shule ina madarasa 16, jengo la utawala, Chumba Cha Computer na Student Cafeteria.
-Majengo Mawili ya vyoo vya wanafunzi.
-2 in 1 staff self contained houses yenye uwezo wa kuchukua walimu wawili na familia zao.
-Maabara 2 na Jiko
-Majengo 5 ya Bweni ambapo mawili kati hayo hayajaezekwa ambapo kila moja lina uwezo wa kulaza Wanafunzi 80.
-Shule imeunganishwa na Umeme wa Tanesco wenye uwezo wa 200KV unaotumiwa na shule tu.
-Shule imezungushiwa fence pamoja na Chumba Cha mlinzi lango kuu.
-Plot size *Ekari 25* eneo lililojengwa Shule zimetumika *Ekari 4* tu zingine zinaruhusu uendelezaji wa kupanua majengo zaidi
-Document: Title Deed *(66 Years)*
*Bei shilingi Bilioni 3.5 maongezi yapo*