Kiwanja kinauzwa Majengo, Dodoma


MAJENGO KWAAJILI YA HOSPITALI, TSHS.250 MILIONI,GOBA MPAKANI.
Eneo lipo jirani na Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000.
Majengo yamepangiliwa kwa kuzingatia Vitengo,
Kwa maana ya Maabara,Wodi,Upasuaji nk.
Baadhi ya Majengo yanahitaji umaliziaji ujenzi.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg