Kiwanja kinauzwa Majohe, Dar Es Salaam
Plot for sale
Kiwanja safi kinauzwa
Location majohe
Kina ukubwa wa 45k kwa 40k kiwanja hiki kinauzwa milioni 50k mauziano serikali ya mtaa.
Kina fence upande
Matotafari yapo pia kidogo taratibu za kwenda kuona elfu 30k kwa maelezo zaidi sikiliza hiiyo video