Kiwanja kinauzwa Majohe, Dar Es Salaam
Plot for sale
Kiwanja kizuri kinauzwa
Location majohe kituo manzese
Kina ukubwa wa 45k kwa 40k kiwanja hiki kinauzwa Milioni 50k
Kina Leseni ya mauziano serikali ya mtaa.
Kina fence upande upande mmoja hakuna fence ila matofari yapo maelezo zaidi sikiliza hiyo video