Kiwanja kinauzwa Makongo, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa kipo makongo juu CCM. Kiwanja kina hati miliki ya serikali ( Title deed) na ukubwa wa square meter 1383. Plot namba ya kiwanja ni 106. Bei ya kiwanja ni 200,000,000 TShs. (MILIONI MIA MBILI)
Kwa mawasiliano zaidi piga simu
0672 673363 / 0763 219307




















