Kiwanja kinauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam
ENEO LA BIASHARA ZURI SANA LINAUZWA BINAFSI MAKUMBUSHO NEAR MESUMA DAR ES SALAAM TANZANIA
KWA SASA KUNA HOSTEL INA VYUMBA 25
BEI MIL 850
*ZINGATIA BEI HII WANATAKA MTEJA ALIPE GHARAMA ZOTE ZA KODI NA TRANSFER*
*JAMBO LINGINE LA KUZINGATIA ILI TUSIPOTEZE MUDA OFFA ZA MIL 700 NA 650 TAYARI ZIPO MEZANI NA HAZIJAKUBALIWA*
UKUBWA WA ENEO SQM 1078
UMILIKI HATI SAFI KUTOKA WIZARA YA ARDHI
PLOT INA BARABARA ZA MTAA ZA VUMBI PANDE MBILI,,, NA MITA 100 TU KUTOKA BARABARA YA LAMI
Site visit fee tsh 30,000
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347