Kiwanja kinauzwa Mapinga, Pwani


📌Barabara mpya inayoiengwa iko mita 500 tu kutoka site yetu
📌Umeme na maji ya dawasa vipo
📌Karibu kabisa na makazi ya watu, ni 1km kutoka Vikawe center
📌6km kutoka Baobab (Mapinga) ukipitia njia ya Bagamoyo road
📌Ukubwa ni kuanzia sqm 400 na kuendelea
👌Wahi mapemaaaaa, bei kuanzia milioni 6 kwa cash, na Milioni 6.4 kwa installment
📌Unaanza na nusu halafu unalipa malipo yanayobaki ndani ya miezi 6, kila mwezi ni 533,333 ila siyo lazima ulipe kila mwezi wewe maliza tu ndani ya miezi 6
☎️0659540265 / 0718354943
📌Site visit ni kila jumamosi
📍Posta, jengo la IPS, gorofa ya 5