Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro
#KIWANJA KIZURI SANA KWA UWEKEZAJI KINAUZWA
#mahali kilipo:- NJEDENGWA INVESTMENT
#ukubwa wake:- SQM 4,000
~kiwanja kipo katika kona (corner plot)
Njedengwa investment area ndipo zilipo taasisi kama
TIRA HQ,TANROAD HQ, TCRA HQ, NEC,ROADFUND, KAHAWA PLAZA, mfuko wa mawasiliano pamoja, RUWASA HQ
UNAWEZA KUWEKEZA
~hotel
~air bnb apartments
~normal apartments
~shopping mall
Bei 250,000,000/= Tzsh.
Mawasiliano
0628891445
0755690265
#viwanjabeirahisi
#viwanjadodoma
#viwanjamtumba