Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KINAUZWA AREA A NYUMA YA SAMI HOTEL JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 595 sq.m
Kina HATI
Kina fensi upande mmoja
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 45,000,000/= ( milioni arobaini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"