Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA CHA TATU LAMI KINAUZWA CHIDACHI JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 547 sq.m
Cha tatu LAMI
Kina fensi pande mbili
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 23,000,000/= ( milioni ishirini na tatu tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"