Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA MAKULU OSTERBAY JIJINI DODOMA
Mahali; Makulu OSTERBAY
Eneo ukubwa; 506 sq.m
Sifa; Kina fensi upande mmoja
Maji/Umeme upo
Kinafaa kwa MAKAZI au UWEKEZAJI
Kipo sehemu nzuri
Bei; 18,500,000/= ( milioni kumi na nane na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"