Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA UDOM NG'ONG'ONA JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 800 sq.m
Kinafaa kwa APARTMENT. LODGE, MAKAZI n.k
KIna fensi upande mmoja
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 16,800,000/= ( milioni kumi na sita na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"